KARIBU

Mamlaka ya Rufaa ya Zabuni za Umma  ijulianayo kama PPAA ilianzishwa na Sheria ya Ununuzi ya Umma Na.3 ya mwaka 2001 ambapo baada ya Sheria hii kufutwa, Mamlaka iliendelezwa chini ya Sheria ya Ununuzi ya Umma Na.21 ya mwaka 2004 na kuhuishwa tena kupitia Sheria ya Ununuzi wa Umma Na.7 ya mwaka 2011 baada ya ile Sheria Na.21 ya mwaka 2004 nayo kufutwa.  Kwa mujibu wa Vifungu vya 88(4) na 97 vya Sheria ya Ununuzi wa Umma ya mwaka 2011, jukumu kuu la Mamlaka ni kupokea, kusikiliza na kutoa maamuzi ya malalamiko au rufaa zitokanazo na maamuzi ya maafisa masuuli katika michakato mbalimbali ya ununuzi wa Umma.  Pia Mamlaka inajukumu la kusikiliza malalamiko yatokanayo na kufungiwa kwa makampuni (blacklisting of tenderers) na Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Ununuzi wa Umma (PPRA).

 

  • 3-min3.jpg
  • 4.png
  • pic-4.jpg
  • PPAA2.jpg
  • ppaa3.jpg
  • ppaa_36.jpg
  • ppaa_37.jpg
  • tamarind.JPG

 

Fomu

Sheria na Kanuni

PPAA FOMU Na.1 (Taarifa ya Malalamiko)

 PPAA FOMU Na.2 (Majibu ya Malalamiko)

 PPAA FOMU Na.6 (Maombi ya Kuongezewa       Muda )

 PPAA FOMU Na.7((Application to Set Aside Exparte Decision)  

 

 

Kanuni za Rufaa 2014

Kanuni za Rufaa (Marekebisho) 2016

Sheria ya Manunuzi ya Umma 2011

Sheria ya Manunuzi ya      Umma  (Marekebisho)     2016

Kanununi za Manunuzi ya Umma 2013

Kanununi za Manunuzi ya     Umma (Marekebisho)       2016

 

 

Dira yetu

"Chombo cha kusuluhisha migogoro ya ununuzi wa Umma kinachoaminiwa na wadau wake”

 

Dhima yetu

"Kutoa uamuzi wa haki na kwa wakati kwa kuzingatia utumiaji mzuri wa rasilimali zilizopo"

MOTO: Kutoa Maamuzi ya Haki na Kwa Wakati