Kukata Rufaa

Uwasilishaji wa Malalamiko au Rufaa

Kuna njia mbili za uwasilishaji wa Malalamiko au Rufaa

  1. Tuma barua rasmi ya malalamiko kwa Afisa Masuuli wa Taasisi ya Umma iliyotanganza zabuni husika ndani ya siku saba (7) za kazi tangua ulipofahamu sababu zinazosababisha malamiko.
  2. Afisa Masuuli atatakiwa kutoa uamuzi wake ndani ya siku saba (7) za kazi.
  3. Ikiwa Mzabuni hajaridhishwa na uamuzi wa Afisa Masuuli au Afisa  Masuuli hajatoa uamuzi ndani ya muda wa siku saba (7) za kazi, wasilisha malalamiko au rufaa mbele ya Mamlaka ndani ya siku saba (7)za kazi toka ulipofahamu jambo au uamuzi unaoulalamikia. Mzabuni awasilishe Malalamiko au Rufaa yake kwa kujaza PPAA Fomu Na. 1 ambayo ni Taarifa ya Rufaa( Bonyeza    kupakua PPAA Fomu 1) pamoja na kulipa ada ya Rufaa(Bonyeza  kuona gharama ).Mamlaka inatakiwa kutoa maamuzi yake ndani  ya siku arobaini na tano(45) tangu kusajiliwa kwa Malalamiko au Rufaa.

 

  1. Kama mkataba umesainiwa, basi wasilisha malalamiko yako moja kwa moja mbele ya Mamlaka ndani ya siku 7 za kazi toka ulipofahamu jambo hilo.

 ANGALIZO: 

 Mambo yanayoweza kulalamikiwa: -

Mawasiliano: -

Katibu Mtendaji,

Mamlaka ya Rufaa ya Zabuni za Umma,

L.O. P 1385,

Dodoma.

Barua pepe: This email address is being protected from spambots. You need JavaScript enabled to view it.

INFORMATION TO BE SUBMITTED
Name and address of the Ministry or Institution which floated the contested tender.
The tender being disputed.
Reasons leading to the appeal / complaint.
What action or reliefs are required from the PPAA.