Submit Your Letter: barua@ppaa.go.tz  Phone:+255743505505   Swahili  Staff Mail

PPAA

Mafunzo

 

Wazabuni na Taasisi Nunuzi wa mikoa ya Dar es Salaam, Pwani, Morogoro na Tanga mnaalikwa kushiriki mafunzo ya uwasilishaji na ushughulikiaji wa malalamiko au rufaa za ununuzi wa Umma Kwa njia ya kieletroniki.
Tarehe 29 - 30 Mei 2024