Wasilisha Barua: barua@ppaa.go.tz  Simu:+255743505505   English  Staff Mail

PPAA2

Dira  

"Chombo cha utatuzi wa migogoro kinachoaminiwa na wadau wake"

Dhima

"Kutatua migogoro ya Wazabuni inayotokana na mchakato wa ununuzi wa umma kwa haki na kwa wakati ili kuhakikisha uzingatiaji wa Sheria inayosimamia."

MAADILI YETU

Katika kutekeleza jukumu lake la msingi la utatuzi wa migogoro itokanayo na michakato ya ununuzi wa Umma au kufungiwa kwa wazabuni  (blacklisting of Tenderers) Mamlaka huzingatia maadili ya msingi ni-

  • Huduma kwa wateja
  • Haki na usawa.
  • Ushirikiano
  • Uwajibikaji
  • Uadilifu