Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Mamlaka ya Rufani ya Zabuni za Umma
( PPAA)

PPAA Logo

Jinsi ya Kupata Maamuzi ya Mamlaka ya Rufani

Imewekwa: 24 Jun, 2024

Jinsi ya Kupata Maamuzi ya Mamlaka ya Rufani:

1. Nenda kwenye menyu ya Rufaa au Maombi kwenye tovuti ya Mamlaka ya Rufani au kupitia link hii
Rufaa
Maombi
   
2. Chagua mwaka husika wa Rufaa au Maombi.
   
3. Orodha ya Rufaa au Maombi ya mwaka husika itaonekana.
   
4. Unaweza kutafuta moja kwa moja au kutumia kutufe cha kutafuta kwa kuingiza namba ya kesi, jina la Mrufani, au jina la Mrufaniwa.

Kwa kufuata hatua hizi, unaweza kwa urahisi kupata na kusoma maamuzi yaliyotolewa na Mamlaka ya Rufani.