Maadili Yetu
Maadili Yetu
MAADILI YETU
Katika kutekeleza jukumu lake la msingi la utatuzi wa migogoro itokanayo na michakato ya ununuzi wa Umma au kufungiwa kwa wazabuni (blacklisting of Tenderers) Mamlaka huzingatia maadili ya msingi ni-
- Huduma kwa wateja
- Haki na usawa.
- Ushirikiano
- Uwajibikaji
- Uadilifu
Moto: Utatuzi wa rufaa kwa Wakati na Haki