Maombi ya Kukazia Hukumu
Maombi ya Kukazia Hukumu
Maombi ya Kukazia Hukumu
Mshindi wa tuzo iliyotolewa na Mamlaka ya Rufani anaweza kuomba kukazia hukumu kwa kuwasilisha maombi kwa Mamlaka ya Rufaa. Maombi ya kukazia hukumu yanapaswa kuwasilishwa kwa Mamlaka ya Rufaa baada ya siku kumi na nne kupita tangu tarehe ambayo uamuzi wa Mamlaka ya Rufaa ulitolewa. Maombi haya yawasilishwa kwa kwa mujibu wa Kanuni ya 36 ya Kanuni za Rufaa za Ununuzi wa Umma.
Maombi haya yatafanyika kwa kutumia PPAA Fomu Na. 8 ( Bofya hapa Kupakua Fomu ) na kulipa ada (Bofya hapa kuangalia ada husika)
Anwani:
Katibu Mtendaji,
Mamlaka ya Rufaa ya Ununuzi wa Umma,
S.L.P 1385,
Dodoma.
baruapepe: es@ppaa.go.tz au barua@ppaa.go.tz