Maombi ya Kuongezewa Muda
Maombi ya Kuongezewa Muda
Maombi ya Kuongezewa Muda wa Kuwasilisha Rufaa/Malalamiko
Maombi ya kuongezewa muda wa kuwasilisha malalamiko au rufaa nje ya muda uliowekwa yatawasilishwa kwa Mamlaka ya Rufani ndani ya siku tano za kazi kutoka tarehe ambayo mleta maombi alitakiwa kuwasilisha malalamiko au rufaa yake. Maombi haya yatawasilishwa kwa mujibu wa Kifungu cha 122 cha Sheria ya Ununuzi wa Umma ya mwaka 2023
Maombi haya yatawasilishwa kwa kutumia PPAA Fomu Na. 5 (Bofya hapa Kupakua Fomu) pamoja nakulipa ada (Bofya hapa kuangalia ada husika)
Anwani
Katibu Mtendaji,
Mamlaka ya Rufaa ya Ununuzi wa Umma,
S.L.P 1385,
Dodoma.
baruapepe: es@ppaa.go.tz au barua@ppaa.go.tz