Kujiunga katika Shauri
Kujiunga katika Shauri
Kujiunga katika Shauri
Mzabuni mwenye maslahi katika Rufaa iliyowasilishwa (Mzabuni anayekusudiwa kupewa tuzo) anaweza kujiunga kama mhusika katika shauri ndani ya siku tano za kazi tangu kupokea taarifa juu ya uwepo wa shauri. Mhusika anaweza kujiunga katika shauri kwa kuwasilisha Fomu ya PPAA Na. 5 (Bofya hapa Kupakua Fomu) pamoja na kulipa ada (Bofya hapa kuangalia ada husika) kwa mujibu wa Kanuni ya 17 ya Kanuni za Rufaa za Ununuzi wa Umma.
Anwani:
Katibu Mtendaji,
Mamlaka ya Rufaa ya Ununuzi wa Umma,
S.L.P 1385,
Dodoma.
baruapepe: es@ppaa.go.tz au barua@ppaa.go.tz